"Paglaki, Paglaki" - Ubongo Kids Singalong - Awit at Cartoons sa Swahili

"Paglaki, Paglaki" - Ubongo Kids Singalong - Awit at Cartoons sa Swahili

"Paglaki, Paglaki" - Ubongo Kids Singalong - Awit at Cartoons sa Swahili

InglesIngles
Taon

2015

Tagal

2m

Genre

Ingles

"Ili nikue nifanye nini?" Imba na Mama Ndege! Wimbo huu wa Ubongo Kids unafundisha kuhusu ukuaji na mlo kamili! "If I want to grow tall, what should I do?" Singalong with Mama Ndege! This song from Ubongo Kids is all about growth and nutrition. Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Watch Ubongo Kids every Saturday and Sunday morning at 9am on TBC1, and see all of our webisodes at: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Ubongo Kids is an African edutainment series from UBONGO MEDIA, produced in Dar es Salaam, Tanzania. /ubongokids /ubongokids /ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Maaari Mo Ring Magustuhan